JPM dissolves Kigamboni Development Authority

Wananchi Watinga Mahakamani Kufungua Kesi ya Kupinga Agizo la Serikali Kuzuia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Bunge


HATUA ya serikali kuzuia kurusha moja kwa moja mjadala wa vikao vya Bunge kama ilivyokuwa awali, bado inaumiza wananchi. Safari hii wananchi wametinga mahakamani na kwamba leo wamefika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kufungua kesi ya kuitaka mahakama hiyo kutengua agizo la serikali la kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya Bunge. Januari mwaka huu, Nape Nnauye, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Michezo na Sanaa alilieleza Bunge hatua ya kuzuia matangazo ya moja kwa moja ya chombo hicho kama ilivyokuwa awali. Miongoni mwa sababu alizotoa ni kwamba, serikali imekuwa iki

Comments