- Get link
- X
- Other Apps
*Sauda Mwilima akiwa na Zamaradi Mketemwa.*
Kama kawa wiki iliyopita tulimleta kwenu prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima
ambapo mlimuuliza maswali anayoyajibu wiki hii. UNGANA NAYE… VIPI
*KUHUSU BANGI?*
Nasikia wakati unasoma ulikuwa unavuta bangi, je, ni kweli au? Andrew
Kazala, Dar, 0717179570
SAUDA: Sijawahi kuvuta bangi na sijui inafanana vipi.
*PONGEZI*
Mara utasikia oooh, Maimartha Jesse anauza dawa za kuongeza makalio au Lulu
Semagongo ana danguro la kuwauza mashoga lakini kwa Sauda Mwilima sijawahi
kusikia skendo yoyote ile, hakika wewe ni kioo cha jamii hongera sana.
Rocky Mos... more »
- Get link
- X
- Other Apps
Comments
Post a Comment