Mastaa wawili wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel walikipata
cha moto walipokuwa kwenye msiba wa Adam Kuambiana, Bunju nje kidogo ya
Jiji la Dar, baada ya kutukanwa na njemba mmoja aliyekuwa amelewa.
*Mastaa wawili wa Filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiwa
katika Msiba wa Adam Kuambiana.*
Sakata hilo lilijiri usiku mwingi wakati mastaa hao walipokuwa wameenda
kulala kwenya matanga ambayo yalihudhuriwa na mastaa kibao, nyumbani kwa
mke wa marehemu
Mwanaume mmoja (jina lake halikupatikana) alianza kumtukana Wema kuwa hana
uzuri wowote kama walivyokuwa waki... more »
Comments
Post a Comment